- ugozi
- ------------------------------------------------------------[Swahili Word] ugozi[English Word] algae[Part of Speech] noun[Class] 11------------------------------------------------------------[Swahili Word] ugozi[English Word] green scum (on stagnant water)[Part of Speech] noun------------------------------------------------------------[Swahili Word] ugozi[English Word] racism[Part of Speech] noun[Class] 14[Dialect] recent[Derived Word] ngozi N[Swahili Definition] mtindo wa kumbagua mtu kwa ajili ya asili au rangi ya ngozi yake[Swahili Example] Utaona ... kuwa ugozi ... wa Kiingereza unakataa hata kuangalia hisabu za idadi ya watu walizozifanya wenyewe, katika kutueleza porojo lao kuhusu kabila la Waswahili" [Shariff, Tungo Zetu, uk. 12][English Example] You will see that English racism refuses even to look at their own population statistics, in explaining to us their propoganda about the Swahili ethnic group.[Note] Shariff's own coinage.------------------------------------------------------------
Swahili-english dictionary. 2013.